kampuni inafanya kazi za uwakala kwenye mali zisizo hamishika kwa kushirikiana na mamlaka za kiserikali katika miji ambayo kampuni inafanya shughuli zake. Pia Pamoja na kushirikiana na taasisi za serikali kampuni yetu inatoa huduma hizo...
Kampuni yetu inapima maeneo yake kulingana na matumizi yaliyopangwa na mji, kampuni ina maeneo sehemu mbali mbali kama vile Nala, Mahoma Makulu, Mahomanyika na Msalato pia kampuni inaendelea kupima maeneo yake katika mji wa Dar...
kampuni inatoa ushauri wa malizisizohamishika katka Nyanja mbalimali kama ifuatavyo; Katika maswala ya uendelezwaji wa viwanja ambavyo wateja wamenunua kutoka kwa kampuni au sehemu yayote ile namna ya kuvipangilia kutokana na matumizi ya eneo husika...