Kampuni yetu inapima maeneo yake kulingana na matumizi yaliyopangwa na mji, kampuni ina maeneo sehemu mbali mbali kama vile Nala, Mahoma Makulu, Mahomanyika na Msalato pia kampuni inaendelea kupima maeneo yake katika mji wa Dar es salaam na pwani

kampuni pia inafanya kazi za upimaji wa maeneo ya wateja wenye uhitajiwa kupimiwa kwa garama nafuu, utaratibu wa kupimiwa ni kama ifuatavyo;

  • Mteja atatakiwa kufika ofisini kwetu na kufanyiwa utambuzi wa maeneo yake kulingana na matumizi yaliyotengewa katika eneo lake.
  • upimaji wa maeneo ya kampuni dar es salaam na pwani

Kampuni inapima maeneo yake jijini dar es saalam na pwani kama vile kigamboni, kibaha, kisemvule na bagamoyo

Kampuni inafata mipango miji iliyopangwa na serikali na pia inashirikiana na halmashauri ya jiji au Manispaa na wilaya katika kuhakikisha miji inakuwa katika mpango wa kisasa Zaidi.

Kampuni inatoa huduma ya uchoraji wa ramani za majengo ya kisasa kwa mfano ramani za majengo ya juu (Magorofa) majengo ya chini (nyumba za kawaida)

Ramani hizi zimetofautiana garama kulingana na aina ya nyumba ambayo mteja anahitaji kujenga gharama hizo ni kuanzia laki moja (100,000/=)