kampuni inatoa ushauri wa malizisizohamishika katka Nyanja mbalimali kama ifuatavyo;

  1. Katika maswala ya uendelezwaji wa viwanja ambavyo wateja wamenunua kutoka kwa kampuni au sehemu yayote ile namna ya kuvipangilia kutokana na matumizi ya eneo husika kwa mfano, matumizi kama ni maeneo ya biashara tunawashauri wateja wetu kuwekeza katika ujenzi wa nyumba za biashara, pia kama eneo ni la makazi hali kadhalika jambo hili linasaidia kupunguza usumbufu na migogoro isiyo ya lazima katika uwekezaji.
  2. Pamoja na ushauri uliotanguli hapo awali kampuni pia inatoa ushauri katika kipengele cha ujenzi wa kisasa kwa namna rahisi na wezeshi kwa wateja wetu.