
UPIMAJI
Kampuni yetu inafanya kazi ya upimaji wa aridhi kwa kushirikiana na halmashauri za jiji, manispaa na wilaya kwa kufata mpango mji
USIMAMIZI WA UJENZI
Kampuni inasimamia ujenzi wa majengo kwa watu wenye uhitaji wa kusimamiwa ujenzi wa nyumba zao, kwa utaratibu wa kufanya hesabu za gharama za nyumba anayotaka kujenga mteja.
Kampuni ina utaratibu wa kuingia mkataba na mteja baada ya kukamilisha tathimini ya garama. Ya nyumba kwamba mteja atatakiwa kufanya malipo ya asilimia sitini (60%) ya garama ya nyumba yake na asilimia arobaini (40%) atamalizia baada ya nyumba yake kukamilika.