
September 30, 2017
Shughuli za Upimaji (maeneo ya kampuni na wateja), Upangaji, uchoraji na Ujenzi unaofanywa na kampuni ya JUMACO
Kampuni yetu inapima maeneo yake kulingana na matumizi yaliyopangwa na mji, kampuni ina maeneo sehemu mbali mbali kama vile Nala, Mahoma Makulu, Mahomanyika na Msalato pia kampuni inaendelea kupima maeneo yake katika mji wa Dar...